Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-16-09-24-19.png
 
Hilo deni linanitesa hadi natamani niji ho chi minh kwa muda.Hakika Mungu ni mwema japo hali ya mzazi sio nzuri(Mungu atende).Ni kilio kwa kweli maana kila unapojaribu kuanzisha hiki vikwazo vinajitokeza.Naamini kwa uweza wa Mungu aliye hai,wale wote walio pata hasara kwenye moto huo watasimama tena.Habari ya majukumu SYB...
Pole kuhusu afya ya mzazi. Mungu ndiye tabibu mkuu na bila shaka Atamgusa na mkono wake wa uponyaji. Mamangu pia hali yake siyo nzuri na usinione niko hapa ni kujifariji tu. Yote tumwachie Mungu rafiki yangu. Wazazi wetu hawa ni wazee na kusema kweli tumebarikiwa sana kuachiwa tukawa nao mpaka wakati huu. Ni mapenzi na upendeleo wa aina yake na hatupaswi kulalamika. Wakati huu wanapokuwa ukingoni mwa maisha yao kizazi chao kikiondoka baada ya kutimiza majukumu yake tena kwa ustadi wa ajabu na kupisha vizazi vingine, tujaribu kuwa karibu nao na kung'ong'a ng'ong'a matone ya mwisho katika bahari yao pana ya maarifa, hekima na uzoefu wao kuhusu maisha. Mungu Atubariki na kututia nguvu mkuu...
 
Hii ni kwa wote ambao wapo siriasi na mahusiano ya mapenzi.

Ukitaka kuwa mpenzi bora, kuwa mwalimu kwa mwenza wako, mfundishe kila kitu kuhusu wewe nini hupendi, una ndoto gani, ukihuzunika unakuwaje, mabaya na mapungufu yako ni yapi.

Usitake mwenza wako awe mganga au mtabiri wa nyota, yaani akujuwe tu bila wewe kumueleza.

Utaishia kusema huyu mwanamke au huyu mwanaume hanielewi kabisa

ACHANA NA MOVIE AU NYIMBO NAMNA PEKEE YA KUELEWEKA NI KUJIELEZA.TU
Na kila zito(tatizo) au jepesi(furaha) mshirikishe mwenzi wako.Mke/mume lazima awe rafiki yako zaidi ya kuwa mume na mke... Kila siku iendayo kwa Mungu peaneni ubuyu mpya,hata kama ni wa insta au Facebook.Jitahidini kukumbushana jinsi mlivyo kutana kwa mara ya kwanza na jinsi mlivyo sumbuana,lakini pia,tembeleeni ile g/house mliyo duana kwa mara ya kwanza.
ZINGATIA:Vinywa vyenu msiviruhusu vitoe maneno ya matusi,dharau,kebehi,n.k. dhidi yenu
 
Back
Top Bottom