Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole kuhusu afya ya mzazi. Mungu ndiye tabibu mkuu na bila shaka Atamgusa na mkono wake wa uponyaji. Mamangu pia hali yake siyo nzuri na usinione niko hapa ni kujifariji tu. Yote tumwachie Mungu rafiki yangu. Wazazi wetu hawa ni wazee na kusema kweli tumebarikiwa sana kuachiwa tukawa nao mpaka wakati huu. Ni mapenzi na upendeleo wa aina yake na hatupaswi kulalamika. Wakati huu wanapokuwa ukingoni mwa maisha yao kizazi chao kikiondoka baada ya kutimiza majukumu yake tena kwa ustadi wa ajabu na kupisha vizazi vingine, tujaribu kuwa karibu nao na kung'ong'a ng'ong'a matone ya mwisho katika bahari yao pana ya maarifa, hekima na uzoefu wao kuhusu maisha. Mungu Atubariki na kututia nguvu mkuu...
Amina.Pole sana kwa ajili ya mama,naamini atapona haraka.Mimi ni binadamu tu,akili yangu inanituma nijiandae kuipokea kesho mpya,inaweza kuwa ya maumivu sana,namuomba Mungu angalau kesho hiyo isogee mbele zaidi(mapenzi yake yakapate kutimia),sijui,mimi ni nani? Mungu ndiye pekee... Tuwaombee wapone haraka.Ubarikiwe sana brother[emoji120] [emoji120]
 
Screenshot_2017-08-16-09-22-25.png
 
Hii ni kwa wote ambao wapo siriasi na mahusiano ya mapenzi.

Ukitaka kuwa mpenzi bora, kuwa mwalimu kwa mwenza wako, mfundishe kila kitu kuhusu wewe nini hupendi, una ndoto gani, ukihuzunika unakuwaje, mabaya na mapungufu yako ni yapi.

Usitake mwenza wako awe mganga au mtabiri wa nyota, yaani akujuwe tu bila wewe kumueleza.

Utaishia kusema huyu mwanamke au huyu mwanaume hanielewi kabisa

ACHANA NA MOVIE AU NYIMBO NAMNA PEKEE YA KUELEWEKA NI KUJIELEZA.TU
[emoji111] [emoji111] [emoji111]
Kazia kazia m'baba
 
Back
Top Bottom