Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ni kwa wote ambao wapo siriasi na mahusiano ya mapenzi.

Ukitaka kuwa mpenzi bora, kuwa mwalimu kwa mwenza wako, mfundishe kila kitu kuhusu wewe nini hupendi, una ndoto gani, ukihuzunika unakuwaje, mabaya na mapungufu yako ni yapi.

Usitake mwenza wako awe mganga au mtabiri wa nyota, yaani akujuwe tu bila wewe kumueleza.

Utaishia kusema huyu mwanamke au huyu mwanaume hanielewi kabisa

ACHANA NA MOVIE AU NYIMBO NAMNA PEKEE YA KUELEWEKA NI KUJIELEZA.TU
[emoji817] [emoji817] [emoji817]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117][emoji117][emoji117]An adult male duck is called a 'drake'.
dbd361a6d3cf4f5ec75df34c94fdce35.jpg
 
Acha nikasake matango[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
I hope ni kwa nia njema shemeji [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Na kila zito(tatizo) au jepesi(furaha) mshirikishe mwenzi wako.Mke/mume lazima awe rafiki yako zaidi ya kuwa mume na mke... Kila siku iendayo kwa Mungu peaneni ubuyu mpya,hata kama ni wa insta au Facebook.Jitahidini kukumbushana jinsi mlivyo kutana kwa mara ya kwanza na jinsi mlivyo sumbuana,lakini pia,tembeleeni ile g/house mliyo duana kwa mara ya kwanza.
ZINGATIA:Vinywa vyenu msiviruhusu vitoe maneno ya matusi,dharau,kebehi,n.k. dhidi yenu
Mume/mke/mpenzi anatakiwa kuwa rafiki yako kipenzi kila linalokusibu mnatakiwa mshirikishane,uhusiano wenu usiwe wa kuishia kulala miguu 4,mkiwa marafiki ni rahisi kukosoana,ila almuhimu mnatakiwa kiheshimiana,kuwa pamoja katika kila hali hakika mahusiano yenu yatadumu...
 
Back
Top Bottom