Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amina.Pole sana kwa ajili ya mama,naamini atapona haraka.Mimi ni binadamu tu,akili yangu inanituma nijiandae kuipokea kesho mpya,inaweza kuwa ya maumivu sana,namuomba Mungu angalau kesho hiyo isogee mbele zaidi(mapenzi yake yakapate kutimia),sijui,mimi ni nani? Mungu ndiye pekee... Tuwaombee wapone haraka.Ubarikiwe sana brother[emoji120] [emoji120]
Asante mkuu. Don't be too philosophical about this thing called life. Mfalme Suleman, baada ya kuponda raha za kila aina, mwishowe alihitimisha kuwa yote ni ubatili na kujilisha upepo tu. Kumtumikia Mungu na kufanya yote yampendezayo yeye na hasa kuwasaidia binadamu wenzetu wenye uhitaji ndiyo hasa kusudi letu kuu hapa duniani. Mungu Azidi kutuonyesha njia mkuu na Awaponye wapendwa wetu !!!
 
Jamaa anamshukuru MUNGU kwa kumpa mtoto baada ya kuombewa na mchungaji,ebu angalia huyo mtoto na mchungaji kuna haja ya kufanya DNA test kweli?


IMG-20170816-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom