Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaniiii[emoji22][emoji22][emoji22]..
Nimeishiwa pozi hata sijui nijibu nini maana daah[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kupenda penda hukoooo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tatizo ulimpenda Cole kwa kumuonea huruma,ila limoyo lako looote la makopa kopa ulibwaga kwa kichwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe ni kwisha kwa KK...
 
Unataka kusema paraboz zilimvutia? Katika uzi huu mtu unaweza kuandika kitabu kabisa kuhusu mambo mengi tu ukitaka!!!
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] my ndugu Kuna jambo unaliona nini
Mi ndugu yako ujue
Wewe haushauriki,siwezi hata kujisumbua kuongea chochote...msije nifanya ubuyu baadae mkiwa faragha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila jiandae kwa parables mdogo wangu....KK anakuharibia
 
Back
Top Bottom