Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Enheee!!! Endelea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha niishie hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila natamani hospitali zetu hasa za serikali zingekuwa zinaruhusu wanaume kuingia labour room waone wake zao wanavyopata shida may be ingepunguza kuwanyanyasa na kuwazalisha bila mpangilio[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…