Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah. Range Rover V12 hili mpaka uliagize mwenyewe kutoka kiwandani customized. Hata kuliendesha vizuri hasa milimani na kwenye matope ni lazima upewe tutorial [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Shemeji maelezo yako sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu haya maisha ya hapa acha tu... Sipati picha siku nakutanishwa na carba..."Shikamoo babu" naitikia 'Marahaba mjukuu mrembo' huku nachungulia kamsambwanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara najitambulisha huku macho nimekazia kwenye kamwinuko 'eee naitwa andjul nimetokea Tukuyu Mbeya'... Naamini carba atahamaki "Waaaatiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tena kasema ni kimodo na kimsambwanda cha mning'inio. Itakuwa safi sana !!!
ea173c5c9df3d90f96a0ac747c5dad9b.jpg
 
Ni kweli.Nimeshiriki mara moja,hali ilikuwa ngumu sana kwangu,nimekaa kuanzia saa moja hadi saa tano usiku.Masumbuko aliyoyapata nikawa naombea hata iharibike mke wangu apone nirudi nae nyumbani.Alivyo jifungua tu,nikamwambia hapo ndio mwisho wako kubeba mimba....
Kama huna moyo labour room hukai hata sekunde...acheni tu Mungu aitwe Mungu kwakweli
 
Back
Top Bottom