Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo ID yako unalea watoto wangapi? Hongera
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo ID yako unalea watoto wangapi? Hongera
Dah mkuu nipo nipo nakula like tuKiongozi vipi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Mwambie Sunday Manara akusindikize, yeye muenyeji hukoJamani huu uzi nimeanza nao, nakomaa nao.... Inakuaje nimetengwa? No no no no no! Naenda FIFA
Yap30k loading to.
Hiyo list imenibidi nipite pembeni mkuu.Duu likes zote ninazotoa ila nimebaguliwa
Niambie nakusikilizaNgoja niseme shida yangu
Nakichafua kama ilivyo kawaidaHili ni gunia la mwendo kasi mkuu carbamazepine.
Najipendekeza hunioni jmnAbee
Kabisa bila hivyo naanza kuruka watuKula like mkuu...kesho inabidi fairness izingatiwe..
Mkuu naona umeweka kambi kabisa huku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15]
Akili zako unazijuaga mwenyeweTaarifa za hivi punde
China wamegundua mti ambayo matunda yake ni Mandazi....... Unachuma mandazi na kuyapasha tu
Usiku mwema
Nawe chapa likeMliotoa comments ni 2800, naombeni like zenu tafadhali.