Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
J709
Usha rogwa wewe,sio akili zako hizo.Nakataa,kwetu hatuna mtu wa aina yako...Hata mjomba ako Mwaikonyole akisikia atasikitika sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23],mtoto wa Mwalukuta alikuwa kama wewe,walizunguka nae saa hivi amepona.Lakini ameachana na yule mwanamke..Baada ya kufikiri kwa muda na kwa umakini wa hali ya juu nimeamua yafuatayo
1. Carbamazepine nampenda kweli na atabakia kuwa wangu
2. Tuhuma zako my ndugu andjul hazina ushaidi
3. Labda siku unipe ushahidi unao weza kuonekana
4. Na hata ushahidi ukiwepo nitafanya tathmini
Nayafukua kesho kweupeeeee peee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila natamani kujua hayo makaburi [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umeisha nichamba kimoyo moyo