andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hahahahaaaaaa...Watu wanaoa kwa malengo. Huna haja ya kununua Pram (push chair)
Hahahahaaaaaa...Watu wanaoa kwa malengo. Huna haja ya kununua Pram (push chair)
Mbona ulinipata nsamaka? Hebu tengua kauli basi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeh nilishafika tangu jpili ila sijampata. Hapa niko na mpango wa kurudi tu jmosi.
EnheeKK na carba....
Fukua au nikuletee vitendea kazi[emoji23][emoji23]Nifukue???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Basi wanawake wengi watakua hawana akili timamu mana hizo kesi kitaa ni nyingi ujueNope
Bado ni ugonjwa tu!
Hamna duniani kitu kama hicho
Hakuna mwanamke Mwenye akili yake timamu atafanya wendawazimu kama huo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lolLala salama carbamazepine
Punguza kuota ndoto za kina andjul quote ur post ovyo ovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji9][emoji9][emoji9]habari ya asubuhi babeAmna nothing I write again nothing can take away what I feel for you
[emoji173] [emoji178] [emoji173] [emoji178] [emoji173] [emoji177] upendo wangu kwako Ni kama maxmelo na JF