Mlonge ni mti gani huo NumbisaUnga wa majani ya mlonge unao uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;
Huko Afrika magharibi madaktari hutumia mlonge kutibu Kisukari
2. Huko India mlonge hutumika kutibu shinikizo la juu la damu
3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke)
5. Hutibu Kansa
Nakuona tuMacho kodo
HahahahahaPesa ina nunua upendo pia!
Imani yako TU!
Nione tu leo nimekuja kupambana na andjul humu[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona tu
Ujanja wote huujui mlonge?Mlonge ni mti gani huo Numbisa