Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unga wa majani ya mlonge unapaswa uwe ni wa kijani kweli kweli na majani yake yawe yalianikwa kivulini na siyo juani. Anza na kijiko kidogo kimoja ukichanganya na vimiminika kama maji ya uvuguvugu au juisi yoyote ya matunda uliyotengeneza mwenyewe nyumbani kutwa mara moja na taratibu ongeza kiasi cha dawa kadri unavyohitaji.
 
Unaweza kuuchanganya pia kwenye wali wakati unakula au unaweza kuweka ndani ya kikombe cha uji au unaweza kutumia kama majani yako ya chai ingawa hautakiwi uchemshe sana kwenye moto.

Mti wa mlonge sasa umeanza kuwa maarufu huko Marekani hii ni kutokana na mti wenyewe kuendelea kupata umaarufu miongoni mwa watu wanaojali afya zao. Ingia google andika ‘Moringa plants for sale’ utagundua keyword hiyo inatafutwa kila siku mara maelfu.
 
Watu wengi pia wameanza kilimo cha mlonge kama biashara ya kuwaingizia kipato. Ukiwa na miti 200 tu ya mlonge shambani kwako tayari wewe siyo mwenzetu.

Mti wa mlonge ni moja ya miti mhimu katika sehemu yote ya dunia. Kadri watu wanavyoendelea kuutafiti na kuusoma mti huu ndivyo mahitaji ya unga wa majani yake, mbegu zake, unga wa mbegu zake na mafuta ya mbegu zake yatakavyozidi kuongezeka na kuongezeka.
 
MUHUBIRI 10:19
MUHIMU SANA!
Muhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,Na divai huyafurahisa maisha,Na fedha huleta jawabu la Mambo yote.

Ila kumbuka haya maneno yametoka kwa huyu huyu jamaa aliyeomba hekima kwanza badala ya fedha.
Kumbuka kutoka katiko ukoo huo huo alizaliwa jamaa aliyesema ni vigumu sana kwa tajiri kuurithi ufalme wa mbingu kuliko ngamia kupenya katika tundu la sindano
 
Back
Top Bottom