Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kanyaga dole gumba hilo 30k na like tunamwaga
Upo!Twende kazi...
K ndio nn
MmhAbee
Kichwa kichafuWanaogopa kutia post
Hamna kulala hapaKichwa kichafu
Chukua like kwanza nitarudi kusoma hapaHistoria inaonyesha kwamba wanaume hawazeeki Hata akifikia umri mkubwa bado thamani yake ni Kama makinikia baada ya kuondolewa dhahabu...Ndio maana hakunaga Mabibi na Mababu ni Mabibi na Mabwana kumaanisha kuwa wanaume hawazeeki![emoji12] [emoji12] ..<br /><br />Sasa we Bidada endelea kujiegesha kwa Mume wa mtu ukidhani Muda unakusubiri..Ukija kustuka una 35! Hapo utasikia Mimi ni nani Mungu Hata nichague Mume wa kunioa..Nipe mwanaume yeyote Mungu Baba...[emoji12] [emoji12] Taa nyekundu imewaka..Waheshimu vijana wenzio ukishachuja huyo mume wa mtu anakutema kama Big G!
Lengo leo litafikaHatujafika lengo mkuu
Chukua likeKulala time