makala7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 497
- 407
AwesomeMatumizi ya mlonge kama kiua vijasumu (antibiotic) kwenye tiba asili yalianza miaka maelefu iliyopita. Mlonge ulitumika kwa mara ya kwanza kama dawa zaidi ya miaka 2000 kabla ya Kristo.
Sent using Jamii Forums mobile app