Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu ungeweka na kiswahili pia au angalau kimakonde, maana hicho kiarabu nacho mmh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasomesha namba za kiarabu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Mama na baba yangu wamekuja kunisalimia tuka have lunch together!
This is what I call a totally blessing!
Ni furaha ilioje upo nayo!! Mshukuru sana Mungu kwa uwepo wao,penda kuwauliza tabia za utoto wako,usumbufu ulio wapa,waombe msamaha kwa kuwalalia mwilini ili wakusamehe kwa kukushika kwenye utosi wako.
Mungu awape afya njema na maisha marefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…