ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
AMUN RANi furaha ilioje upo nayo!! Mshukuru sana Mungu kwa uwepo wao,penda kuwauliza tabia za utoto wako,usumbufu ulio wapa,waombe msamaha kwa kuwalalia mwilini ili wakusamehe kwa kukushika kwenye utosi wako.
Mungu awape afya njema na maisha marefu