Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K054
Partners wangu kwenye biashara ni wahindi naw wao wanaamini kuwa baada ya Mwenye Enzi Mungu ni Mama Mzazi!Ni furaha ilioje upo nayo!! Mshukuru sana Mungu kwa uwepo wao,penda kuwauliza tabia za utoto wako,usumbufu ulio wapa,waombe msamaha kwa kuwalalia mwilini ili wakusamehe kwa kukushika kwenye utosi wako.
Mungu awape afya njema na maisha marefu
Asalaam alyekum١٧٢٢
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums