Mkojo wa sungura hutumika kama mbolea ya maji katika mimea na unasemekana kuwa na virutubisho vingi muhimu kwa ajili ya mimea hasa katika mazao ya mbogamboga.
Mkojo ukishapatikana huweza kuhifadhiwa katika solo na unakuwa tayari kwa matumizi. Kinachoweza kufanyika ni kuchuja mkojo huo na kuondoa uchafu, kisha unakuwa tayari kwa matumizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.