Dawa nyingine ya asili ya kuua wadudu shambani ni mchanganyiko wa majani ya mwarobaini na mkojo wa ng’ombe. Mchanganyiko huu ni nzuri na una matokeo mazuri katika kufukuza wadudu hatari shambani.
Makamanda wa kweli katika Neno. Tena huyu wa kulia huwa ananiwasha moto sana kiroho. He is a gifted warrior of the Word. Mungu Aendelee kuwatumia katika ufalme wake!
Baada ya maandalizi haya, chukua majani ya mwarobaini (weka mengi kiasi cha kujaza ndoo nne za lita 20). Kisha yatwangwe mpaka yawe laini kabisa kiasi cha kutoa maji.