ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Byutifu pikcha !!!
Kuna tofauti kati yao na hawa hapa afrika wanaomiliki ukwasi wa kutisha kwa sadaka zetu?Makamanda wa kweli katika Neno. Tena huyu wa kulia huwa ananiwasha moto sana kiroho. He is a gifted warrior of the Word. Mungu Aendelee kuwatumia katika ufalme wake!![]()
Hamna kwa kweliKuna tofauti kati yao na hawa hapa afrika wanaomiliki ukwasi wa kutisha kwa sadaka zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ishu ya Qatar kutengwa na masharti magumu waliyopewa ikiwemo kuifunga Al Jazeera sijui imefikia wapi...Kazi Kweli kweli
Watajiju kwa kweli!Hii ishu ya Qatar kutengwa na masharti magumu waliyopewa ikiwemo kuifunga Al Jazeera sijui imefikia wapi...
Tofauti ni kubwa. Hawa ni wafanyabiashara wakubwa na hawategemei sadaka. Tena hata mishahara wengine hawachukui. Na hela za makanisa yao na biashara zao haziingiliani...Kuna tofauti kati yao na hawa hapa afrika wanaomiliki ukwasi wa kutisha kwa sadaka zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtu hahahaha
Uwiii!Tofauti ni kubwa. Hawa ni wafanyabiashara wakubwa na hawategemei sadaka. Tena hata mishahara wengine hawachukui. Na hela za makanisa yao na biashara zao haziingiliani...