Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Makamanda wa kweli katika Neno. Tena huyu wa kulia huwa ananiwasha moto sana kiroho. He is a gifted warrior of the Word. Mungu Aendelee kuwatumia katika ufalme wake!
Kuna tofauti kati yao na hawa hapa afrika wanaomiliki ukwasi wa kutisha kwa sadaka zetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kati yao na hawa hapa afrika wanaomiliki ukwasi wa kutisha kwa sadaka zetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ni kubwa. Hawa ni wafanyabiashara wakubwa na hawategemei sadaka. Tena hata mishahara wengine hawachukui. Na hela za makanisa yao na biashara zao haziingiliani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…