cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Watatu mkuu, afu wote mama zao wameniacha
Uliwakosea nini jamani, lazima kuna mmoja bafo unampenda yupi ni namba 1,2 au 3?
Watatu mkuu, afu wote mama zao wameniacha
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Stress free
Mwizi mtupu.Wizi mtupu
180 kwenye konaSpeed speed speed tu
Chezesha dole gumba30k bdo kidogo...
Wengi kwenye kujipenda tunaangukia kwenye KICHWA KICHAFU.Kama wewe ni mwanaume unajiamini na unajipenda basi nakupa hongera.
Shaaaaaaaaaaa180 kwenye kona
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Hata akiwa chizi tuna like
We bamutu kumbe upo hapa.Kama wewe ni mwanaume unajiamini na unajipenda basi nakupa hongera.
Wewe unaendelea kutoa. Kamata likes...Jamani wengine mmefunga kutoa likes nini maana hata hizo likes hatuzioni [emoji12]
Karibu kahawaKama wewe ni mwanaume unajiamini na unajipenda basi nakupa hongera.