Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K540
Kabisa MkuuUzi huu umetukutanisha na kutufanya tuwe kama ndugu
IndeedLakini sisi ni marafiki ni ndugu kabisa na marafiki wa kweli
The one and onlyDadangu mpendwa mwenye mtazamo wa pekee kuhusu maisha ISIS...
YapNi kweli kabisa!
Tupo pamoja MkuuBusara zako Mzee wa Liver
PotiRafiki yangu mwenye welewa mpana wa mambo mengi Yegomasika
HahahahahaShemeji yangu mpenda misambwamba Andjul
Mental wanguKichwa Kichafu mchangamsha uzi kwa utani uliotukuka
HahahahahaHo Chi Minh...
Kurudi kwako kumetufurahisha sana japo hatujui kama Uniq alikuwa amekuteka ama la !!!