Hiyo lugha imenishinda kabisaCLEVERKING naona unakomaa na jamaa Safi Sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Kuna Muhaya Aliingia Serena Hotel Dar Akijua Yeye Ndiye Mwenye Vogue Peke Yake! Akakuta Parking Zimejaa Vogue! _IKABIDI AULIZE ZENYE FULL TANK TUNAPARK WAPI?_*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ukiitwa unapata notification au?Jana niliwahi kulala Mkuu