myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
furaha huanzia kwako
Mkuu Robert Mugabe sio kuanzia 1981? Sidhani kama ni 1987Robert Mugabe (Zimbabwe: 1987-Present)
![]()
Mwenye Enzi Mungu
Jamaa alishindwa kwenye election ila akataka kuweka ngumu kuachia kiti,nguvu ya umma ikamchomoa!Yahya Jammeh (Gambia: 1994-2017)
![]()
Kutoka kuishi state house mpaka sasa anaishi in Prison.!!Charles Taylor (Liberia: 1997-2003)
![]()