Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Unapotoa machozi huku upo emotional (hasira, stress, maumivu, umeudhika, umekwazwa, mawazo, umechoka nk) zaidi mwili huweza kutoa homoni za protein kama vile Leucine Enkephalin (hii ni natural pain killer), prolactin na adrenocorticotropic hizi hupunguza stress zaidi na kukufanya usijikia raha na ahueni.
 
sehemu yenye utulivu harafu ruhusu kilio chenye machozi yanayotiririka yenyewe hadi chini kwenye cheeks (mashavu), hakikisha unaruhusu emotions zako za ndani kuhusika katika kulia kwako ili utoe machozi mengi na ya maana (content)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…