moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Uko sahihi baada ya tume kutangaza matokeo na kumtangaza mpinzani ndiye mshindi mwanzo jamaa alikubali lakini baadaye akaleta mzozo uliopelekea kukimbia GambiaUmma ndio ulio muondoa,ECOWAS walikuwa pale ikiwa tu jeshi lingeanza kuua raia kama sikosei.Tuendelee kuwekana sawa kama kuna mwenye kumbukumbu sahihi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie nenda sokoni hela hii,hataenda sokoni na hela anaichukua... Ole wako uidai hiyo hela,utajuta kwanini ulimkadamiza hiyo mimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila hata shikamoo likes utapata tuhodi
mimi mgeni nipeni likes
shkamooni nyote
Post utapata likes nawe likes post za wenzakombona sioni likes
AminaMkuu umewaza nilivyo waza.Kuna wivu/chuki ya asili..."kwanini asingekuwa wa kwangu ndio anarudi hivi?" Vyombo vya habari vya Tanzania sio wabunifu,wanategemea sana matukio yaliyo jitengeneza kuliko kutengeneza wao.Mungu awape afya njema watoto watatu.RIP kwa wale wote waliotangulia mbele ya haki...