Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K802
15:0814:44
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Sema mrembo wa karne. Dunia bado inajizungusha katika mhimili wake. Pia inalizunguka jua. Na huko juu kwenye magalaxy mengine hali ni ile ile. Sayari zinapuyanga katika mzunguko usio na mwisho. Nyota zinaendelea kung'aa na zingine zinafifia baada ya kuishiwa na nguvu na nuclear fission kukoma. Nyingine zinamezwa na mablack holes yasiyoshiba. Unaweza kufikiri ni vurugu tupu lakini ukiangalia vizuri ni mfumo tatanishi sadifu uliopangiliwa vizuri na Grand Designer mwenyewe God the Almighty.Salama kabisa... Habari ya wewe shimba?
Perfect place for a wedding photo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Wow [emoji4]