Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3572.JPG
 
fd12b51a673e1d144e435c4332d06392.jpg


FURSA. FURSA. FURSA.

Hivi unafahamu ukiwa Oriflame unaweza kujihudumia? Yaani nitakuelekeza namna ya kufanya order na kilipia mwenyewe kwa uaminifu zaidi..

Karibu ufurahie huduma nzuri kutoka Oriflame pia karibu upate bidhaa sahihi kwa matumizi yako..

Tuwasiliane ukiwa tayari kujihudumia kwa simu namba 0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wale wajawazito wanaojikuta kuchukia vitu flani flani wakiwa kwenye hali hiyo washawahi kuchukia PESA?
Mwambie nenda sokoni hela hii,hataenda sokoni na hela anaichukua... Ole wako uidai hiyo hela,utajuta kwanini ulimkadamiza hiyo mimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wale watoto wa Lucky vicent wamerudi Leo hila sijapenda coverage kubwa waliyopewa na TV
Nafikiri itaumiza zaidi wazazi waliopoteza watoto wao
Mkuu umewaza nilivyo waza.Kuna wivu/chuki ya asili..."kwanini asingekuwa wa kwangu ndio anarudi hivi?" Vyombo vya habari vya Tanzania sio wabunifu,wanategemea sana matukio yaliyo jitengeneza kuliko kutengeneza wao.Mungu awape afya njema watoto watatu.RIP kwa wale wote waliotangulia mbele ya haki...
 
Teodoro Obiang Nguema Mbasogo of Equatorial Guinea
He took power in a coup in August 1979, till date he has been in charge of the Central African country for 36 years, the election which he is widely expected to win would extend his mandate for a further seven years till the next elections in 2022.
 
Back
Top Bottom