FFMumerara?
Ha ha...
Nimeandika 'mumerara' badala ya 'mmelala?' kunogesha baraza tu mkuu siyo kama sijui.Na ndiyo maana nikaweka cheko kidogo.Any way everybody is unique...I.Q haziwezi kuwa sawa.Tukitaka kutambiana shule hapa tutakimbiana!Isitoshe uzi huu ni wa kutoa likes tu...makandokando mengine kwako labda na kwa...(neno limehifadhiwa).
MamiiUpo baba!
Kweli eeeHalali MTU hapa
Morning
[emoji736]Raha jipe mwenyewe.
NoopMumerara?
Ha ha...
Morning mkuuMorning