Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna maneno mengi hutokea na kuwepo pale wawili wanapopendana. Upendo ni kitu ambacho hakizuiliki. Napale patakaposhikilia ule upendo ipasavyo ndo husikii wala huoni utakaloambiwa juu ya akupendaye. Matendo mbalimbali yanayofanywa na wale wapenzi moja kwa moja huchochea upendo wa moyoni ambao hudumu milele, ndio hapo utasikia keshapewa madawa, mara mke wake kamkalia kila atakachoomba lazima apewe namengine mengi ambayo umekumbana nayo au kuyashuhudia kwa watu wengine.
 
Moja kwa moja niende kwenye hivo vichochezi kama ifuatavyo:
• Kusikiliza na kua mshauri mwema kwa mwenzako.Iwe ni kuhusu familia yake au mipango yake ya baadae au kimasomo,kikazi na hata kibiashara.Ikumbukwe kuwa mafanikio ya mmoja ni chachu ya maendeleo mazuri hata mtakapokua katika familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…