Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anakutaka. Anasema kuwa unahitaji za aina aina na usiridhike na moja. Utamuweza Mnyakyusa huyu? Na kwa vile una msambwanda basi ni shida....
97af4c05e8f51ee82b1bce7e73101524.jpg

Heee!!! Mkoro...kashituka[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
 
Usimuulize mpenzio anataka zawadi gani.Siku zote zawadi ni kitu ambacho mpokeaji hakijui na wala hatakiwi kukijua kabla hujampelekea.Kuna zawadi nyiingi sana ambazo unaweza mpa mwenza.Na kupitia muda wa urafiki wenu naamini utaweza kujua walau nusu kama si robo tatu ya vitu anavyovipenda.Ila jitahidi uwe ni muibuaji wa vitu vipya sio vilivyozoeleka.
 
Back
Top Bottom