Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nataka kujua madhara yatokanayo na mionzi. Ya simu, laptop, ...nk

Sent using Jamii Forums mobile app
TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU ZA MKONONI:

Simu zinatumia Mionzi ya MICROWAVE ambayo huwezesha kuunganisha simu yako kwenda kwenye Mnara na mnara huunganisha Simu yako na Mitambo ya Mtandao wako ambapo pia Hurudishwa kwenye mnara hadi kwa mtu Unaye mpigia. Microwave ndio njia kuu ya muunganisho huo.
 
Lakini kunamdhara mengi mtu huyapata kutokana na kuwa karibu na Mionzi hiyo ambayo hadi sasa bado haijafahamika ni kwa kiasi Gani. Uchunguzi umeonyesha kuwa kuna madhara mengi ya kiafya tunayapata kutokana na Matumizi ya simu. mfano wa magonjwa hayo ni
 
Hatuwezi kujizuia kutumia simu na Hatuwezi kuzuia hiyo mionzi ya MICROWAVE sababu ni sehemu ya shughuri zetu za kila siku ila tunaweza KUPUNGUZA. hapa nawaletea Njia chache za kupunguza Mionzi ya MICROWAVE isituletee matatizo makubwa zaidi.
 
1. Punguza matumizi yasio lazima ya simu.Mfano Ongea mda mfupi kwa kutumia simu sio muda mrefu uweunaongea, Uchunguzi umeonyesha kuwa ukiongea kwa DAKIKA mbili haileti madhara, (Alter natural electricity of the Brain)
 
2. Watoto wasiruhusiwe kutumia Simu bali pale tu inapobidi.
3. Usitumie Earphone za wire, Tumia za wireless mfano za bluetooth. za wire zinaongeza wingi wa mionzi sababu pia zinatumika kama antena ya simu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…