Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
7. Usipige simu kama network ipo chini au signal inaonyesha bar moja au ndogo, simu itavuta mionzi zaidi ili kufanya mawasiliano
8. Ukinunua simu hakikisha unasoma kama ina LOW SAR (Specific Absorbtion Rate) Ni kipimo cha kupokea mionzi ya simu.Za nokia zinazo ila za Kichina HAZINA.