Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
L197
Mtunga sera huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inasemekana kuwa.Tanzania ilivunja mkataba na kampuni ya Stirling Civil Engineering Ltd mwaka 2009 kutengeneza barabara ya Wazo Hill kabla ya kukamilika kandarasi hiyo.Aisee hii imekaaje nimesikia juu juu tu kuwa jamaa wazuia bomberdier yetu Canada source ni nini
Pengine hamjamalizia kulipa !!!Aisee hii imekaaje nimesikia juu juu tu kuwa jamaa wazuia bomberdier yetu Canada source ni nini