Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuuza vifaa vya Kompyuta, laptops, converters, HDDs, Monitors, Softwares, CD Copiers na vifaa vingine.
Kununua magenerator na kuikodisha
Kufungua kampuni ya kutoa huduma za simu
Kufungua kampuni ya kutoa huduma za internet (ISP)
Kuuza mabati na vigae
Kujenga apartments
Kufungua Kisima cha mafuta ya taa au mafuta ya aina zote
 
Kufungua Duka la samaki
Kufungua Duka la nafaka
Kufungua Shule za Awali, Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo.
Kujenga hostel
Kuuza vocha na ving’amuzi vya DStv, Zuku, Startimes, Easy TV, TNG, Digitech, Continental.
Kujenga mtambo wa kuzalisha umeme na kuuza katika viwanda na wananchi.
 
Ufundi simu
Kufungua Hospitali, Zahanati.
Maabara ya Macho, Meno
Kuchimba/Kuuza Madini
Kufungua ofisi ya kutoa huduma ya simu na fax
Kuuza miti na mbao
Kufungua Grocery, bar
Kufungua studio ya kupiga na kusafisha picha
Kucharge simu/battery
Duka la TV na vifaa vingine
Kuanzisha biashara ya kuuza vyakula katika sherehe na tamasha mbalimbali (catering).
 
Banda la kupigisha simu
Kuuza na kushona Uniform za shule
Kuanzisha duka la kuuza vitu kwa jumla.
Kufungua gereji za kutengeneza bajaji, pikipiki na magari
Kuuza vyuma, pembejeo, rake, jembe
Kuuza fanicha
Kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari na mitambo.
 
Kujenga nyumba za kulala wageni (hotel)
Kuagiza na kuuza vifaa vya aluminium.
Kuuza vioo
Kushona na kukodisha nguo za harusi
Kufungua yard kwa ajili ya kuosha magari
Kuuza mashine za kuchomelea (welding machine).
Kuuza vifaa vya kuvaa Site (boots, helmets etc)
Kununua mabasi kwa ajili ya kusafirisha wanafunzi
 
Kufungua studio ya kutengeneza vipindi vya redio na televisheni
Kuanzisha ofisi ya michezo ya televisheni (TV Games)
Kufungua benki
Kuwa na malori ya kubeba kokoto na mchanga
Kuuza vifaa mfano TV, CCTV Camera, n.k
Kuwa dalali wa vitu mbalimbali
Kuanzisha mradi wa kukodisha fork lift na winchi (crane)
 
075b5c0075982877bd33764f11f62d06.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23]na kweli
 
Back
Top Bottom