Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

075b5c0075982877bd33764f11f62d06.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Politics hatari sana
 
Hatari sana nafikiri ndiye mchezaji bora kupata kutokea
Hapana Pele was the best to ever happen I'm this world. Unajua Pele alishajipia krosi na kwenda kufunga mwenyewe!?

Zamani Unajua mswahili ili akibalike kuwa best inamlazimu awe the best Mara NNE ya mweupe. Pele kipindi anapiga soka ilikuwa akicheza faulo kwa mweupe refa anampa kadi afu anamkata na kwenzi la kinyankuzi kama onyo.

Maradona alikuwa anafungia mikono tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom