Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sikuwa nafahamu.Zamani bibi walijua vizuri matumizi ya shanga na *RANGI ZAKE*
Mfano:
*Nyekundu:* zilivaliwa siku za hedhi, hivyo mume anajua kabisa leo bahari imechafuka , leo kupiga mbizi amna.
*Nyeupe:* zilivaliwa siku ambazo bahari ipo safi na salama kwa kuogelea na kupiga mbizi.
*Manjano* ujue siku iyo friend mech haina kukamiana.
*WANAWAKE WA KILEO HATA HAWAELEWI, SHANGA RANGI KIBAO UTASEMA BENDERA YA UKAWA.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi