carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Broooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kamanda wa pwani. Niliwahi kupata kamalaika ka Kizaramo aisee kaliniendesha vibaya sana. Ila kalikuwa kazuri kwa kweli. Mpaka leo nakakumbuka ka Ashura kangu !!!
Hilo halina Ubishi.Legend wa football
PELLE
Na we piah si umefurahiNaona leo full kicheko eeh