Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa. Uwanja wako huu. Kuna ile topiki ya kuangalia hali ya ulimi ili kujua afya nzima ya mwili. Wengine hutumia nyayo...
cb992494e346fec6bc1f59e88eda18a6.jpg
Wapo wanaotumia hadi vitanga vya mikono
 
Kwa mfano, chagua nguo utakazovaa usiku. Weka kila kitu unachotakiwa kutoka nacho kesho kwenye aidha pochi au begi lako. Kama huwezi, na kuna kitu unataka kukumbuka asubuhi, jitumie ujumbe mfupi wa maneno (text) kwenye simu yako. Ukiamka bila shaka utachukua simu yako. Itakukumbusha.
Ni kweli aisee. Mambo ya kuanza kufukuzana asububi kutafuta soksi ni shida sana...
 
Hapana, ni SHIMBA dume mwenye manyoya wa Koromije

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema kamanda wa pwani. Niliwahi kupata kamalaika ka Kizaramo aisee kaliniendesha vibaya sana. Ila kalikuwa kazuri kwa kweli. Mpaka leo nakakumbuka ka Ashura kangu !!!
 
Back
Top Bottom