BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Wakuu leo na kesho target yangu ni kucheza na page 100 mpaka 150, si kazi ndogo lakini nitajitahidi kuanzia masaa machache yajayo. Kaeni mkao wa kula maana nitamwaka likes za kufa mtu kuanzia page ya mbele kabisa kurudi nyuma page 100 kasha kupiga 50 nyingine kama muda utaruhusu. Weka likes pata likes.