Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3972b2c52237c343e6b5579cb14c06aa.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie simu rafiki yako wa zamani– Kila mtu anaye rafiki ambaye mmeshibana. Unaye rafiki ambaye mmepitia mambo mengi pamoja. Mazuri na mabaya. Mpigie simu kisha mkumbushane yale mazuri na ya kufurahisha mliyopitia. Chekeni kwa pamoja. Mimi ninalo kundi la marafiki tuliosoma pamoja sekondari pale Umbwe. Huwa tunakutana kwa WhatsApp na kukumbuka mambo mengi tuliyopitia. Tunacheka.
 
Soma Kitabu– Hii ni mojawapo ya mbinu ambazo mimi binafsi huzitumia sana pindi mambo yanapokuwa magumu. Huchukua kitabu kizuri cha hadithi(novel) na kujizikia humo nikisoma. Waandishi ninaowapenda zaidi ni kama Lee Child, John Grisham, J.D Robb, James Patterson, Tom Clancy na David Baldacci.
 
Back
Top Bottom