Mabata madogo madogo yanaogelea...katika shamba zuri la bustaniiii.
Ukiwa na resources hakuna kinachoshindikana. Hata mawinguni waweza ishi
Sema kamanda wa Chuga...Niajee babaa
Itabidi niandike kwenye kinotibuku changu cha data...KK,Numbisa ,Cole na Ruta ni man u
Kwa kwa kwaMabata madogo madogo yanaogelea...katika shamba zuri la bustaniiii.
Yanapenda kuliaa...................
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiishi mawinguni ukakutwa na bombardier za anko magu zikiwa na hasira ya kuzuiwa huko Vancouver ndo utajua kwanini dobi anapiga Pasi ila hawezi sajiliwa Barcelona.Ukiwa na resources hakuna kinachoshindikana. Hata mawinguni waweza ishi
Cole ni mshabiki wa kweli kweli eeh? Hawezi hata kugonga likes mpaka mpira uishe?Mpka mechi iishe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiishi mawinguni ukakutwa na bombardier za anko magu zikiwa na hasira ya kuzuiwa huko Vancouver ndo utajua kwanini dobi anapiga Pasi ila hawezi sajiliwa Barcelona.
Sent using Jamii Forums mobile app