carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unamipasho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hazimi mtu we ni petrol mimi ni moto kunizima kwako ni ndoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unamipasho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hazimi mtu we ni petrol mimi ni moto kunizima kwako ni ndoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kwako piaJioni njema wakuu
Mkuu heshima zako....Usihatarishe biashara yako uliyoilipia pango fedha nyingi na kupoteza muda wako wa thamani, hakikisha unafuata taratibu zote hasa kupata vibali kama TIN namba, leseni kutoka ofisi ya serikali ya mtaa wako au manispaa na vibali vinginevyo ikiwa ni biashara kwa mfano kama ya kuuza madawa ya binadamu itabidi uende mamlaka ya chakula na dawa TFDA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitakutafuta kule kule pa siku zote.
HahahahahaIla yule nae anambwembwe [emoji23][emoji23]akija hapa KK anasepa
Teh teh teh raila kafungwa 4 bila[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha Cole alete matokeo Mimi nilikuwa naangalia JUMONG EP 57
kwa kuna nini Raila ameshinda uchaguzi au
Niajee babaa
AppreciateMkuu heshima zako....
Poa nakusubiriNitarudi mida kwa heri[emoji23] [emoji23]