Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa liver unaweza kunisaidia matokeo kidogo maana kichwa changu kimedelete kidg file la mechi ya leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha Cole alete matokeo Mimi nilikuwa naangalia JUMONG EP 57
kwa kuna nini Raila ameshinda uchaguzi au
 
Epuka tabia ya kuchonganisha watu. Kuna watu kazi yao ni uchonganishi. Wengi wao hawajitambui kama wako hivyo, lakini kuna wengine wanaojitambua hali hiyo, lakini wanaiendeleza kwa kudhani kuwa wanapendwa. Tabia ya uchonganishi mara nyingi iko kwa wanawake, japo siyo wote. Wengi hupenda kudodosa dodosa mambo ya wengine na kuyazungumzia tofauti. Jihadhari na tabia hiyo inakuvunjia heshima.
 
Screenshot_2017-08-19-17-19-08.png
 
Back
Top Bottom