Nlitaka kujua kama mchepuko umeachwa[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona anakuuliza uliza huyo nahisi wivu unamsumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wameanza mbwembwe![]()
android phone
Nimejifunza kupenda wengine nijipende kwanza Mimi.Usipende kujenga uadui, jifunze kuwa na upendo kwa kila mtu kama vitabu vya dini vinavyotusisitiza.
Kicheko kwa dharauuuu kabisa huku makunywa glass moja ya likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimemuona kaja anachekacheka tu humu[emoji23][emoji23]
Mwache bhana pumzika na mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ananitafuta maneno huyu
Ila mnafujo nyie hahà
[emoji23][emoji23][emoji23]yakubane tu kwakweli maana.....Na una bahati nimebanwa na mambo usinge kaa humu napita tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahaWanaobahatisha ni hao liver si huku huku ni 4G tu kichapo
Uuuuuuwiiiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We nakupa za joto joto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh teh teh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kabisa nitaenda kongo safari hii
Habari za weweKichwa kichafu
Mzee wa liver unaweza kunisaidia matokeo kidogo maana kichwa changu kimedelete kidg file la mechi ya leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kawaida yao[emoji36][emoji36]Wameanza mbwembwe