Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
L420
The one and only
Naona unakaribia kustaafu uganga na tunguli tunguli zako [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona unacheka cheka sana
Hahahahaha nimemuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumekucha
Cc:mzee wa liver
SHIMBA YA BUYENZE
AsantePokea za moto moto hizo mama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unanitafutaTeh teh teh hapa ulibakiza irizi tu uwe mganga kama carbamazepine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh teh
Nasikia umejificha[emoji23] [emoji23]Wafungwe tu kwakweli la sivyo humu leo hatutakunywa maji[emoji2][emoji2]
Hatari [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkibahatisha magoli mnafujooo khaaa!
Mchina hata sielewi ila huyo mwingine naona na yeye ni man uAmbiele chi nini sijui naona naye man u
Hahahahahamzee wa liver naona hali mbaya huko