mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kabisa watu hawa ni shida tuNawafungwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini Mr hataumia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa watu hawa ni shida tuNawafungwe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watu sitakaa niwaelewe. Hasa hizi timu za Ulaya. Yanga na Simba angalau afadhali mtu unaweza kuwa na ndugu yako anachezea huko. Lakini hizi za Ulaya hizi duh!Kuna watu wanamahaba hapana kabisa
Wanaacha hadi kula dadeq
Wafungwe tu kwakweli la sivyo humu leo hatutakunywa maji[emoji2][emoji2]Washabiki wa Man U naona leo mmecharuka kweli kweli. Kwa vurugu hizi naomba mpigwe hata tano bila !!!
Hapo sawa mechi ya leo
Nashukuru Mungu sijambo...naona tunapishana tuNipo salama shemeji. We unaendeleaje? Sijakuona ona hapa au may be tunapishana...
Hahahhaa Mimi hapana kwa kweli na sasa hivi kuna malikes napiga likes tuKuna watu wanamahaba hapana kabisa
Wanaacha hadi kula dadeq
Nipo sijapoteaMbona umepotea ghafla