Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kweli umepotea. Siku mbili hizi Unaonekana kwa nadra nadra...Nipo sijapotea
Ni kweli umepotea. Siku mbili hizi Unaonekana kwa nadra nadra...Nipo sijapotea
Huyo kuumia ataumia ila mwenyewe utamsikia sijaumia saaana kidogo tu[emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa watu hawa ni shida tu
Lakini Mr hataumia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KweliKama Kweri Wew Shabiki Wa Man U Like Hapa Na Tushinde
Usipo Like Hatutashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya jamaa alijinyongaHawa watu sitakaa niwaelewe. Hasa hizi timu za Ulaya. Yanga na Simba angalau agadhali mtu unaweza kuwa na ndugu yako anachezea huko. Lakini hizi za Ulaya hizi duh!
Likes huku ukisukumizia na mpira. Na ka kinywaji pembeni. Na Goddess hapo akiwa kwenye kipande cha kanga. Perfect combo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Hahahhaa Mimi hapana kwa kweli na sasa hivi kuna malikes napiga likes tu
Mimi nishashindwa kuwaelewa kwakweli wanashangaza hasa..Hawa watu sitakaa niwaelewe. Hasa hizi timu za Ulaya. Yanga na Simba angalau agadhali mtu unaweza kuwa na ndugu yako anachezea huko. Lakini hizi za Ulaya hizi duh!