Gonga likes huku unasubiria mechi,ukifungwa tunakufariji na likes[emoji2][emoji2]stress free zoneHahahhaa Mimi hapana kwa kweli na sasa hivi kuna malikes napiga likes tu
Asante shemeji. Mama hivyo hivyo tu. Madaktari wanahangaika. Mungu Atamsaidia!Nashukuru Mungu sijambo...naona tunapishana tu
Vipi mama anaendeleaje?
Mungu amfanyie wepesi
Mtandao unasumbua huku nilikoNi kweli umepotea. Siku mbili hizi Unaonekana kwa nadra nadra...
Jamaa zako wameshinda ngoja WajeNipo sijapotea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo kuumia ataumia ila mwenyewe utamsikia sijaumia saaana kidogo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kipande cha kanga...Likes huku ukisukumizia na mpira. Na ka kinywaji pembeni. Na Goddess hapo akiwa kwenye kipande cha kanga. Perfect combo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Cheo kina nguvu kuliko umri tambua hilo.